Acakoro Academy

September 1 2015 12:50pm     0 932

Photo Credit:Acakoro   Tingua risto

Acakoro Academy ni team nifla iko based husuko Koch, nah ii team inafaa kutuma skuodi jamo noma sana hii September kugusa kwa tona nifla husuko Australia.

                                       

Acakoro inafaa kuwa na players kinde na four pamoja na officials wawili kuingia husuko Viena wiki mbili za international exposure. Skuodi yenyewe ilichukuliwa kwa team ya under 11, na ikawa joined na trainers wawili Feisal Mohammed na Jeremiah Khayo. Team yenyewe ina mochoka lea date 1st September na wanafaa kuback hasapa 254 date 15th Sep.

Tona yenyewe haitakuwa rahisi ati hivyo juu patakuwa na giant teams kama Bourussia Dortmund na finalist wa Champions league Atletico Madrid. Acakoro Football Academy watakuwa kwa group B kimoja na Borussia Dortmund, SK Rapid Wien na SV Strasshof.

Related Stories