Boka ya ajaabu!

September 2 2015 1:09pm     0 757

Photo Credit:Google   Tingua risto

Wachinku wamemuja na njaro nira ya kujinice. Ninda ya Wildlife Parks, wamekuwa wakido enta ya aina tofauti sana. Yaani wadhii wanaget kuona wild animals na pia kucheki mechi za hizo animals zikiundana.

Chenye ni shocking zaidi, ni vile waliweza kulazimisha bears kung’ara kama wasee alafu kuperform vita za boka. Hizo zikiwa kwenye uni ya boka hadi na boxing gloves, huwekwa kwa ring (cage bwaku) ziundane lakini zikiwa na mouth muzzles ndio zisiumane.

Eti zimeekewa hadi stool kwa corner ya kuchill kabla kuingia raundi inengi kiboka kabisa. Inadaishwa raiya fogo hufika hasapo Tsingtao Wild Animal World kucheki hizi mechi. Lakini si hisihi ni cruelty kwa hao wanyama?

Related Stories