Desperado kuruka…

September 2 2015 1:34pm     0 648

Photo Credit:Google   Tingua risto

Enyewe shida inaweza kufanya msee akachizi. Raiya kibao wanakapitia kimaisha juu ya riba za kuhata waks na masaibu zinengi zenye hukuwa cause ya poverty. Hubidi hawa masafara wamesaka njaro zote za kujisave na haijalishi ata kama inaweka risk kwa maisha zao.

Sa kuna raiya wambwexes kutoka Guinea, walibambwa na makarao wa Spain wakijaribu kuvuka border illegally. Hisihi riba ilifanyika wakiwa wanatry kuvuka border ya Morocco. Lakini ata badala ya kujam unaweza kuwahurumia tu.

Mjamo wa hawa majamaa alikuwa amejisunda kwa engine ya Shinde nifla aina ya Mercedes 300. Kumbe ilisimamishwa na makarao juu ilikuwa na number plate imbo. Husuyo mwinengi alipatikana kama amejificha kwa seat ya manyu yahiyo ndae.

Ilibidi kwanza wamewaiwa First Aid juu ya kukosa kuget oxygen ya kutosha, wakiwa mafichoni. Kumbe wadhii fogo hutumia hizi njaro crude kuvuka border wakitamani maisha beteta majuu. Inadaishwa gava ya Spain ilijenga fence bwaku kwa border hadi imebidi wadhii kusaka methods za kuvuka illegally.

Kuna wale hukazana kuswim hadi kufika kwa ports ama kujificha kwa begiko. Kwanza kuna riba ya raiya mjamo kutoka Morocco mwenye alisuffocate hadi akagenya akiwa ninda ya suitcase. Saa hizo bro wa kwake ndio alikuwa anatry kumsmuggle akimwuingiza Spain kupitia ferry. 

Related Stories