Mkanya aligosa benkiko tatu!

September 2 2015 2:01pm     0 581

Photo Credit:Google   Tingua risto

Masaibu za kukosa mkwanja zililazimisha mkanya wa husuko Florida, kuenda na kugosa benkiko tatu. Alikuwa mfyam pia kwa hii janta nira juu alimanage kudhanya within dakika salasa pekee.

Cindy Sanchez Carabeo, alirudi kubambwa na anacheki kurushwa neti hadi miaka mbaula. Kotiko ilimgey kukuwa guilty for interfering with interstate commerce by robbery.

Husuyu mkanya akona miaka chwani alijitetea akidai alikuwa anatry kuget mkwanja ya kuduu bash ya graduation ya mniaju wake. Alafu pia alikuwa manyu kwa kulipia keja rent.

Alimanage kugosa viclever hivyo juu alikuwa anatumia notes zikidaisha atatumia bunde na kumada hao bank tellers wakidinda kumgei doh. Lakini inakaa alisahau benkiko hukuwa na CCTV na makarao waliweza kumtambua na kumfwata hadi mtaani kwenyealibambiwa.

Related Stories