Gava kushafu maodijo…

September 3 2015 7:00am     0 344

Photo Credit:Google   Tingua risto

Riba kuhusu strike kutoka kwa employees wa gava zimekuwa kibao hadi inachokesha. Matime unaweza dhania gava hupenda kucheki hizi blanda juu wanangojeanga  hadi kukuwe na noma ndio waanze kutake action. Ikiwa machuo zimetingua for term ya thado, mastiude wamebaki stranded juu hanaku maodijo kwa daro tena.

Tangu last round ya maodijo kustrike wakidaisha mshande kuongezwa, na hadi sahii hanaku chenye imeshughulikiwa. Kwanza inadaishwa eti Teachers Service Commission (TSC) ilifile hii kesi na kotiko late sana njaro bado itabidi wamengoja hizo paper zikuwe reviewed kabla waskizwe.

Union za maodijo zilikatsika nah ii delay na wakawagei go ahead ya kutoreport kwa majanta  hadi siku ile watalipwa. Kumbe hisihi sio mara ya fao TSC imetry kublock payment ikitumia supreme court. Manze inakaa mastiude watazidi kuumia kama hizi ngori zitaendelea hivi . Education ya 254 inaendeleatu kukuwa ya uduu vimajor.

Related Stories