Africa: Bash ya mavajo…

September 3 2015 9:04am     0 1640

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ninda ya Kingdom of Swaziland, kila September kunawanga na bash inaitwa the Reed Dance yenye huendelea. hisihi ni cultural devent yenye mavajo huenda kukatika na kuimba lembe ya Royal famo. Inakuanga njaro ya raiya kuparticipate to honor na to pay homage to the Queen Mother.

Inakuanga bash bwaku kuruka na matime King huchagua wifey kutoka kwa hao mambuus watamuja kukatika. So far amewai madem kinde na kobole na hanaku limit kwa mbana ya wife atamarry.  Ikiwa ni njaro ya kuleta unity kwa clans wa Swaziland, hisihi ceremony pia huunganisha modern na tribal practices.

Round this kuna venye bash haitaendelea. Mavajo salasa na eight waligenya baada ya aksi kutokelezea, wakiwa kwa buu wakielekea kwa hisiyo dance. Aksi yenyewe ilikuwa agwan njaro baro ilikuwa imejaa damu na mwili za madranya kurushwa kila mahali. Hisihi ni ngori both kwa famo za mambuus na gava juu watahata kwa revenue yenye humuja kutoka kwa tourists wale humuja kuyebi hii annual event.

Related Stories