Janta inadediā€¦

September 30 2015 4:50pm     0 459

Photo Credit:Google   Tingua risto

Machinku hukuwa na mambo za ajaabu  sana. Sa kuna janta nifla inadaishwa kukuwa traditional kuruka ikiwa ni wera ya kusafisha maskio. Kumbe kuna njaro yenye inafaa ya kuchuja earwax na inaweza fanywa na wasee kiasi sana.

Hao wadhii wenye wamechop hii janta, wanadaishwa kukuwa salasa pekee. Wakiwa na skills zenye zinafaa kubebwa kama cultural heritage. Kumbe wangetaka pia kupreserve hii wera lakini wamekosa wadhii wakufundisha. Inakaa hisihi generation nira haina shughuli ya kutambua hiyo old trade.

Hawa ear-cleaning masters hupatikana kwa streets za China, karibu na resto zinakinda tiabe na wanakuanga na demand bwaku kutoka kwa raiya na tourists. Wanatambulika kutumia tools kadhaa kama wires, copper tongs na wooden scoops. Wera yao pia inaweza kukuwa described kama ear massage juu wanatumianga acupuncture zenye hurudi kuleta healing effects kwa mwili mzima.

Ambapo inaweza linganishwa kama jamo ya traditional practices raiya huduu kuwasaidia kuishi maisha long na healthy. Unaweza kubali kuoshewa maskio ama utagwaya?

Related Stories