Ann amejichuja

November 23 2015 12:33pm     0 97

Photo Credit:Eurocom   Tingua risto

Ka kuna riba imekua on rotation kwa raiya hasapa 254 ni hisihi inahusu CS wa Ministry of Devolution & Planning, Ann Waiguru. Hii ilikua after mambo za mkwanja kiasi kusemekana zimelost kutoka kwa docket yake juu ya deals hazikua zinafurahisha raiya. Si system ya NYS, si vitu kwa offe ya kwake...na hizi story zote zilibaki zimefanya wadhii kuzua ngori wakidaisha anafaa ajichuje waks juu mkwanja most inalost kwa hii offe ya kwake. Mkwanja ziko in question ni mita 791 (791 Million) na zingine mita 695 (695 Million)

Ann mwenyewe anadaisha kuna vile yeye hana control ya wasee vile wanado na ati ni wasee nifla wanachocha ndio atolewe hasapo kwa hio offe. Lakini after riba ya last kutoklezea, imebidi amejichuja kutoka kwa hii waks hii sato imepita (21st November) akiwa kwa offe yake. Ann alikua ameita wasee wa gazo kwa offe kupeana press statement kudaisha hizi presha zimekua zikimpeleka vibaya mpaka imebidi doki wa kwake amshow atemane na waks, akwachu waks iko na presha less. Alikua anaomba Orezo, Uhunye, amuitikishe kujichuja kwa hii waks na akiona poa ampatie waks haina presha kibao hii design as commission zinaendelea kukenga riba ya hii mkwanja imekua ikipotea kwa hii Ministry.

Msus Ann anaomba tu hizi allegations zimalizwe speedy juu amejitoa hasapo after raiya idaishe anafaa kua njei ndio investigations zifanyike vipoa. Unakenga aje hii story, ni vako ama pang'ang'a ati amekua affected healthwise mpaka inabidi amejichuja waks?

 

Related Stories