Anniversary ya Lucy

November 24 2015 1:11pm     0 245

Photo Credit:SMH   Tingua risto

Lucy ni dem inasemekana ancestor wa kila msee currently on earth according to wasee wa history na geologists. Hizi ni remains ama ukitaka bones zilipatikana za msupa nifla mwenye alipewa jina Lucy Australopithecus na zilipatikana miaka 41 ago today, hasapa Afrika. Reason inasemekana husuyu ndio common ancestor wetu ni juu inasemekana hizi bones ziko over 3.2 million years old.

Google hawajaachwa manyu, na juu ya hio riba, walisunda doodle to that effect kucelebrate miaka 41 since discovery ya Lucy. Hizi remains ziko hasapa Ethiopia, kwa museum nifla na zimekua tourist attraction kwa raiya mob sana. Karibu kila msee hupenya hio country lazima aende kukenga hizo remains zenye zimekua preserved vifiti. Wasomi nifla walifanya recreation ya vile husuyu msus alikua anakaa kutumia facial recreation na evidence ya bones zake na kuna mbisha kadhaa pia alongside histo yake.

Kitu ilibamba sana kuhusu Lucy ni juu bones zake zilipatikana zikiwa 40% intact unlike zingine from the same era. Kitu ingine ilikua mwenda ni vile ilikua discovery ya species haikua inajulikana according to evolution ya raiya to Homo Sapiens ukikenga riba ya evolution. Discovery yenyewe ilikua by msee nifla, Donald Johansen na yeye ndio aliamua kuita huyu msus jina ya Lucy. Jina yenyewe iko adopted from ngoma ya The Beatles, Lucy in the Sky with Diamonds, yenye alikua anaskiza vile alirudi kwa camp after kupata hisizi bones. Inasemekana pia alikua mresh mfupi sana ka kwa mbisha hasapo, na alikua anatembea upright.

Unfortunately bado haijulikani alidedi juu ya nini but wanadaisha alikua mzae kiasi yake time aligenya. Unakenga aje histo, unaona ka Lucy ni ancestor wetu ama hizi hua tu parasha?

Related Stories