Pope Franso kulandi mtaani

November 25 2015 8:35am     0 94

Photo Credit:Spectator   Tingua risto

Hii wiki itabaki forever etched kwa memory za catholic faithful hasapa 254 juu Pope Francis anakam for two days during trip yake ya fao hasapa Africa akiwa Pope. Mara ya lanyo Pope alikua Afrika ni back when Pope John Paul II alikua Pope.

Preparations kibao zimesundwa in place na chchiko, gava, na hata wasee wa waks kufanya hii visit ikue smart. Gava mpaka imeamua kupea wasee holiday kesho, Thursday 26th ndio wasee wapate chance ya kuattend mass na events za Pope Franso during visit yake hasapa.

Pope anafaa kulandi leo jioni, Wednesday 25th, idhaa ya 5pm, na anafaa kuenda kumeet Orezo Uhunye huko State House before apatane na raiya ya Kenyan Corps then aende kutuna. Kesho rengwa (Thursday) ako na shugli kadhaa including Mass pale University of Nairobi na kutembelea offe za United Nations. Friday ni day yake ya lanyo hasapa mtaani na atatembea ungem kwa chachiko ya St Joseph the Worker, then aishie Kasa kumeet na vijana, then bishops before aishie Uganda.

Itakua time fiti sana kwa wasee from all around 254 kuchapiana na yeye kwa hizi forum atakua nazo, na wasee kibao wamekua wakisema kitu wanangoja kuona akibonga about sana sana ni riba ya corruption hasapa mtaani. Unaona anafaa kubonga kuhusu nini?

Related Stories