Karibu Papa

November 26 2015 2:53am     0 376

Photo Credit:BBC.co.uk   Tingua risto

So finally Pope ame land 254!

Pope Francis aliland jana afte saa kumi na finje (4:50 pm). Aliwelcomeiwa na Uhunye, wife wake Maggie, VP na mabiggie wengine wa gava.

After kupewa ma ngoma kadha tradi na za choir, aliishia State House mahali alibonga kando na Uhunye halafu ndio waka address rende ya mutu soo kadhaa kabla yeye kuretire kuenda kutuna huko Westie.

Leo ako na mass huko main campo kabla kuenda ma ndirao za huko Gigiri kupeana talk.

Tuna mwish stay poa huku 254. 

Related Stories