Counterpart kutoka TZ

November 27 2015 1:15pm     0 564

Photo Credit:African Leadership   Tingua risto

Of late discussion most zimekua na raiya hasapa 254 ni kuhusu mkwanja. Either kulia vile hakuna, kutafuta wasee wako na madeni na the most vocal one imekua vile gava inapoteza ama inatumia mkwanja kwa njia hazisaidii umati especially kwa counties na ministries. Kitu ilikua imekera wadhii sana ilikua riba ya mamode kukosa kukanjwa. Hii ilikua inakera wasee sana kwanza wakiskia kuna mkwanja imekua ikipotea ama kutumika kuboti vitu wanaona ni unnecessary.

Lakini penya kwa mtandao na utakenga Hashtag nifla, #WhatWouldMagufuliDo na hii ilikua after Orezo mnira wa TZ, John Magufuli, aanze kukazia government spending. Orezo agufuli amekua orezo for a little over wiki tatu na inakaa ameingia na idea ya kuhakikisha gava yake haitakua tu inadish mkwanja badala ya kupea wasee services wananeed. One of the things orezo alido ni kuchuja wasee walikua wanafaa kuishia trip flani ya gava from wasee 50 to mtu 4. Bash ya kucelebrate coming into power ilikatwa kiasi yake na akasema hio extra ikaboti vitanda na beddings za hosi nifla.

Aliendelea kusema pia hizi meetings za wasee zimeisha, wasee wafanye conference calls kwa offe za gava na akachuja mpaka National Independence Day celebrations zichujwe na hio mkwanja ikafanye vitu zoingine important kwa raiya ka kusaidia fight against Cholera. Hizi na riba zingine most zilikua shared na Spokesman wa kwake, Premi Kibanga, kwa interview nifla.

Hizi actions zilikua welcomed sana na wadhii na wasee kwa Twitter waliidandia mbaya wakidaisha wanaweza kwachu lesson hasapa about kusave mkwanja. Kenga kadhaa hasapa:

Hii kufanya savings kwa government spending ni idea poa ama ni pang'ang'a tu na atazilenga after ameonja utamu ya mkwanja? Tuchapie vile unaikenga

 

Related Stories