Vitu karao hupata

November 27 2015 1:59pm     0 500

Photo Credit:Edge Cast   Tingua risto

Ka kuna waks inakuanga under-appreciated ni hii ya Karao. Na hakuna kitu mbaya kama kanunge na uko kejani solo, makarao wasiitwe kwanza time unapiga nduru kuruka. Karao wanafaa kukua fearless na wadandie riba yoyote...hii ndio "Utumishi kwa wote" kabisa. Na ni kitu haiko tu hasapa 254 but all across the world. Makarao huitwa kusort raiya ka hawaskizani, kutimua ama kushika madingo, kusaidia wasee wamelost...basically kila situation yenye msee anafeel hawezi saidiwa na mabeshte wa kwake.

Kuna hii couple ilikua mtaani husuko Sydney, Australia, usiku wa manane hivi, wamekaokota mbaya, wakaskia nduru na threats kutoka keja ilikua juu yao, sauti ya viti na furniture zikitupwa kila place. Screams zilikua za dem na threats za sauti ya msee akisema "I'm going to kill you, you're dead! Die, Die". Kama kawa, ukiskia neiba anapiga nduru, na threats ka hisizo, clearly kuna vile amevamiwa, reaction ya fao ni kudungia makarao ndio wakam onyoya wakam wasaidia kabla msee amadwe...Na makarao wenyewe hawakusleki, walikam unyoya, sirens kwa wingi, hata mwenye keja hakua anajua wanakam kwake.

Vile walipita na mlango ndio walipata msee ako kwa corner hasapo, anapumua omole kiasi yake, akiwa kiasi wakauliza ako wapi wife ama mamaa wa kwake. Boiz alidaisha anaishi solo na hana mresh kejani. Wakamshow wameambiwa na maneiba screams ka za mresh kwa keja na ndio maana wamekam. Boiz alikua embarassed kiasi ndio akawashow alikua amepata spider kwa keja na hua hapendi hizo vitu. Alikua anaifukuza kwa keja na spray ndio maana alikua anaskuma vitu kwa keja. Spider yenyewe ni type jamo inaitwa Funnel Web Spider na inasemekana venom yake ni ingine gwan sana, inaweza mada mdhii. Makarao wanasema pia ilikua bahati sana boiz hakua anavuta ngale vile walikam juu keja yenyewe ilikua misty after boiz atumie spray ka yote na ingekua ngori sana juu keja ingechomeka!

Unagwaya nini mtaani na ikitoklezea unaweza piga nduru hii design ama utajikaza kisabuni?

Related Stories