Kujiundia ndege

November 27 2015 7:04pm     0 482

Photo Credit:St Lucian News Online   Tingua risto

Kutoka an early age, wasee wengi walikua na dream ya kukau pilots. Over time, hii dream imekua ikibadilika kwa wasee kadhaa especially juu ya mbuku ama mkwanja. Si wasee wengi wamekua lucky kufuata hii dream or kuicheki ikikam true. Hakuna kitu poa ka kuona dream yako ya kutoka tene ikikam true after kufanya mambo.

Boy nifla kutoka Ethiopia, Asmelash Zeferu, ni mmoja wa wale wasee wameamua hawataona dream zao zikiwahepa. Dream yake bigi ilikua kufly ndege lakini vile alienda kutry kumake hii dream ikam true aliambiwa yeye ni mfupi sana. Hii ni vile aliishia Ethiopian Airlines Aviation Academy akaambiwa height yake iko less one centimeter (1 cm). Alibaki amejam sana na akaamua atajiundia ndege yake ndio hizi rules zisimkazie. Hii ilikua miaka fifteen ago na hajakenga nyuma tena.

Asmelash alipenya kwa mtandao na akitumia youtube videos, akajiundia ndege yake mwenyewe pale mtaani na ni kitu amekua akikazana nayo miaka kadhaa. Hii ndiwike aliamua kufanya mambo na hii ndege yake, model K-570 hopefully itaburuka juu miezi kadhaa ago haikuenda poa juu alikua na propeller imevunjika. Amekua na hope that akitoboa atalandi ndio akam kufanya wedo na msupa wa kwake, Seble Bekele.

Hii ndiwike ataenda kutry tena kuburuka na kitu anasema itakua noma sana ni landing although hatakua anafly high sana. Takeoff yake ni at a speed of 90mph (144Kph) na anahope kufikisha altitude ya 10m but mostly juu hana parachute ama safety equipment kwa ndege. Hii yenyewe ni feat kubwa kwanza juu ya uwanjo. Kitu alikua anadaisha imekua ikimlemea over tha last couple of years ni wadhii wa mtaani kumchocha alengane na hii idea ya kuunda ndege, kadhaa wakimchekelea juu wanadaisha hafai kua anaunda ndege hasapa Afrika. Kitu imekua ikimsaidia ni famo na hii dream yake ya kua aerospace engineer husuko NASA.

Tunataka tu kumwish flight poa na aweze kukenga dream yake ikikam true na life poa na mresh wa kwake. Bado unachase dream yako ama uliipoteza kiasi?

Related Stories