Blanda kwa drill

December 1 2015 9:32pm     0 467

Photo Credit:Kahawa Tungu   Tingua risto

Hakuna kitu muhimu ka kua ready in the event noma itoklezee. After incidences kadhaa hapa 254, imekua responsibility ya zile bez wasee hupatana kufanya mambo ndio patrons wasipatikane kwa noma ama wasikue targets within premises zao. Juzi tu tumeona noma ilikua husuko Garisa kwa campo na inakaa hii ndio reason campo kadhaa zimeamua kuweka mastude na staff rada na information ya vile kudo kakinunga. Hii yote ni in an effort kusaidia raiya watoklezee wakiwa safe.

Jana, Monday 30th chuo jamo hasapa Nai, Strathmore University walijitoklezea na wakafanya drill jamo kwa campo yao pale Mada. Drill yenyewe ilikua idhaa ya 12 hivi na walikua wameget karao nifla wakam chuo ka wameng'ara pamba za white hivi na wakiwa na mto, wajiwachilie kwa campo yenyewe kusimulate terrorists kwa terror attack. Inasemekana walikua wanatumia ridhe za uwela na wakaangusha live charges design ya kushow explotions. Hapa kweli ilikua kushow convincingly that ilikua terror attack bila kungoja confirmation.

Raiya kama kawaida hawakungoja, wasee walitoka chwa! Blanda ni kuna mode mjamo ameuma pamba juu ya injuries alipata kwa mdihe na kuna stude wawili wako in critical condition kwa hosi. Sio hawa tu ndio walikua na injuries, inasemekana wasee wengi sana waliumia wakihepa. Broken bones, sprains, bruising zilikua kwa wingi after wasee wajidondoe kutoka floor za juu kwa chuo na wakahepa kwa uwanjo kutoroka hii noma.

Chuo yenyewe inadaisha ilikua imeambia raiya kutakua na drill lakini mastude wanadaisha hawakua na hii riba. Ngori pia ni karao wamekwara hio story wakisema hawakua informed about it. Chuo yenyewe imedaisha itakanja bill zote za hosi kwa wale wasee wote walikua injured during hio drill. Umati imekua ikiuliza, nani anapeana riba ya uwela hapa? Nani anatupiga kata?

Tuchapie unaonaje hii story?

 

 

Related Stories