Ubeste ya aajab

December 1 2015 10:52pm     0 251

Photo Credit:Metro UK   Tingua risto

"Usicheze na food ama ukae njaa!" Hii ni phrase imesemwa kwa keja kadhaa hasapa 254 if not worldwide, na most of the time ilikua inafuatwa na kibare ama kukemewa ile noma. Hii ilifanya wasee watemane na games ikifika ni idhaa ya food as they grew up. Saa hii wasee hucheza na food ni watoi tu, ni hard uone msee msodi akileta magames idhaa ya keroma. Hapa hua ni kubonya one time ndio uende kwa biz na mra ama mepu zingine za kusaka mkwanja.

Lakini ukiingia kwa hii park nifla iko husuko Shkotovsky, Russia utapata riba different sana. Kuna hii Siberian Tiger jamo inaitwa Amur yenye for the longest time imekua kwa diet ya mbuzi. Hii Tiger, Amur imekua ikipewa mbuzi kwa enclosure yake, inazirarua ile mbaya bila magames...lakini juzi ililetewa mbuzi nifla, wasee walikua wamekaa rada kuona vile itaidandia kuidish lakini Amur aliamua kuilenga na sasa hao ni mabeste.

Mbuzi yenyewe sasa inaitwa Timur na inasemekana hii ubeste ilianza vifunny. Timur iliskumwa kwa hio enclosure ya Amur na ni ka haikua inagwaya vile ilikenga Tiger mbele yake. Iliisongea na hasapo Amur akatuliza moto, na wakakua mabeste. Wamekua maebeste design ati Amur aliachia Timur akam kudoze mpaka ile sekta alikua anatuna na siku hizi wanadema na kunywaku waba pamoja kwa hio enclosure ya Amur. Officials wa hio park, wakiongozwa na Director wao, Dmitry Mezentsev, waliamua kubadilisha diet ya Amur na sasa anageiwa tusunguch badala ya mbuzi zingine just in case.

Inasemekana Timur na Amur ni mabeste vinoma mpaka wanakuanga na walks kwa hio enclosure, kucheza pamoja wakikimbizana kila place kimchezo bila wau-wau. Officials walikua wameamua kuchuja Timur kwa hio bez lakini Amur inakaa amekua mpaka protector juu alitolea wasee ukali vile walikaa ni ka wanakaribia Timur mpaka after waliishia alimnusa kucheki ka ameumizwa na hawa wasee. Hii iliconvince hawa wasee that yenyewe Timur ako fiti na hawezi dandiwa na Amur akiskia kinenge, so wataendelea kupoa pamoja.

Unakenga aje hii riba? Inakaa movie lakini ni real. Kenga videsa hasapa chini

Related Stories