Kuwa part ya risto ya The GoDown Arts Centre kufika!

April 18 2018 1:47am     1 1572

Photo Credit:The GoDown Arts Centre   Tingua risto

The GoDown Arts Centre yenye iko hapa Nai imefika!.

Hisi place ndio moja ya maplace wasani wengi wa Nai wamegrowia wakisharpen maskills za kwa sekta kama za magrafo, kudraw, kuspit, kuchonga ma sculpture na vitu mob.

GoDown ilistartishwa miaka fogo bafo but sasa after miaka mob za kuyebi wasaani waki suffer juu ya space, wakajiamulia wamake center nira yenye ita kuwa na space fogo na tuvitu tuvitu mob kuhelp wadhi wanaskillz kupata place watacall kwao.

Hii Mraa haiko cheap. Wanasaka dolare kama mita 15 ndio hii center ipate kuamshwa hapo ma 2021. Date ina kaa mbali lakini time ni nani? Juu ya hiyo story, sis kama GS tume amua lazima tumbetee na GoDown ndio tukuwe part ya hii riba yao yenye sisi wenyewe tunamesea fiti sana itachange venye art scene ya Nai itakuwa miaka hizo zina muja.

Already, kuna wadhi wengi wamejitolea kuwa hapo lembe kumake sure hii dream imuje truest. Joy Mboya, sos wa GoDown, amekuwa aki encourage wadhi waform rende zao za wadhi 19 wa invite wengine 19, hivyo, hivyo mpaka wadhii wawe wengi design hata tuka toa njefi njefi, itakuwa imeshikilia place bwaku vismart.

Rende yetu ya ShengNation | Go Sheng inajisunda kwa hii mraa na jina ya SHENG NATION, so uka tuma ganji kwa M-PESA PAYBILL : 681471 ama AIRTEL MONEY : 681471 , tuna ku urge uweke jina yetu hapo kwa ACCOUNT NAME : SHENG NATION ndio watu wa GoDown pia wajue Sheng Nation imerepiwa tu poa na tuna amini hii kufika GoDown imefika.

Wewe pia unaeza hesabiwa kwa hiyo mepu. Click paha kujiregister halafu pia usisahu kupitia hisi website yao uyebi ma videsa na mbicha zita kugei idea best ya venye hii riba inajipa.

Related Stories