Ma baro zime ngati

October 28 2012 8:12am     0 402

Photo Credit:Nairobimarathon.com   Tingua risto

Kwa wale hawamesei, leo ni STANDARD CHARTERED NAIROBI MARATHON ... so... ma baro fogo zime ngatiwa design ni heri ukae jakes mpaka marathon iland.
Usikuwe wale wakenya wana overlap waki teta ama uko ndani ya mat na una sema "sasa hawa wajinga wana kimbia wana enda wapi?".
Yebi routes zime ngatiwa leo.

Related Stories