Goss Za Kamencu

April 2 2013 5:07pm     0 617

Photo Credit:By Hot Secrets   Tingua risto

Manzi anaitwa Kingwa Kamencu ameleta za ovyo sana. Kamenchu ame cause stear tena kwa facebook page yake anadaisha for mass stabation baada ya supreme coart kuamua ma lowyer kudunga ngua ndefu hanaku kudunga nguo fupi.

Huyu mbuus akiwa ana aspire kuwa orezo kwa campaign zake alikuwa ana lia aki adress wasee. Sasa tunashindwa ukiwa unadaisha kuwa leader utaweza kweli ukiwa wesewe ni msee kulia lia. Alafu tena akadaisha kwa madem hakuna haja ya kudunga ngodha

Related Stories