Sheng word ya leo

 
Waks [ wah-ks  ]  ( Noun )

Meaning: A Business, Job or Work/Work Place

Use: Nimeenda waks = I've left for work

Synonyms: Janta,  Wera,  


Kukuru

22 Jul 2014

Area madem ni masnob na machali ni wahanyaji............(click hasapa kucheki zaidi)
EngineerEngineer fake zina "wiggle" fiti sana kama za nikki..

nace nace maboiyz kulike zile fake, ati oriji hazishiki tena....


Sema mzae kujibamba vimwenda?