Sheng word ya leo

 
Pao [ pah-oh  ]  ( Noun )

Meaning: Twenty (Usually Currency)

Use: Leo tumelipa pao mpaka tao = Today we've paid twenty (shillings) into town

Synonyms: Blu,  Mbao,  Omba,  


Kukuru

22 Jul 2014

Area madem ni masnob na machali ni wahanyaji............(click hasapa kucheki zaidi)
nacenace maboiyz kulike zile fake, ati oriji hazishiki tena....Hisihi ni skill mwenda ama?