Sheng word ya leo

 
Chedas [ cheh-dah-s  ]  ( Noun )

Meaning: Money

Use: Nimepoteza chedas leo jo! = I have lost money today man!

Synonyms: Munde,  Doo,  Chapaa,  Mukuchu,  Mkwanja,  Ganji,  


Kukuru

05 Sep 2014

Napenda culture ya mathree kuruka, ata kama wasee hudharau hiyo janta lakini bila mat ingekuwa aje...........(click hasapa kucheki zaidi)
nacenace kupata hare ya sare ingekuwa ni fununu tu.....Hii ni noma inakaa aje sasa?