Sheng word ya leo

 
Voki [ voh-kee  ]  ( Noun )

Meaning: A Volkswagen Vehicle

Use: Sejo aliboti voki = Joseph bought a volkswagen

Synonyms:


Kukuru

05 Sep 2014

Napenda culture ya mathree kuruka, ata kama wasee hudharau hiyo janta lakini bila mat ingekuwa aje...........(click hasapa kucheki zaidi)
nacenace kupata hare ya sare ingekuwa ni fununu tu.....Enyewe hauwezi kuwablame...