Sheng word ya leo

 
Nangoz [ na-ngohz  ]  ( Noun )

Meaning: Mobile phone

Use: Nangoz ya mine ime trrr = My mobile phone has disappeared

Synonyms: Musi,  Mtambo,  


Kukuru

05 Sep 2014

Napenda culture ya mathree kuruka, ata kama wasee hudharau hiyo janta lakini bila mat ingekuwa aje...........(click hasapa kucheki zaidi)
nacenace kupata hare ya sare ingekuwa ni fununu tu.....Kama hauna copy?