Sheng word ya leo

 
Unenge [ uu-neh-nge  ]  ( Noun )

Meaning: Hunger

Use: Unenge si poa ka saa hii = Hunger isn't pleasant at a time like this

Synonyms: Kinenge,  Ubao,  


Kiche more

Kukuru

05 Sep 2014

Napenda culture ya mathree kuruka, ata kama wasee hudharau hiyo janta lakini bila mat ingekuwa aje...........(click hasapa kucheki zaidi)
nacenace kupata hare ya sare ingekuwa ni fununu tu.....Ulifanya nini ya ufala hii ndiwike?