Sheng word ya leo

 
Uladho [ Ooh-la-dho  ]  ( Noun )

Meaning: Class

Use: Uladho yenyu ilimaliza kutengenezwa = Your class has been finished to be made

Synonyms: Daro,  Ulaso,  


Kukuru

22 Jul 2014

Area madem ni masnob na machali ni wahanyaji............(click hasapa kucheki zaidi)
EngineerEngineer fake zina "wiggle" fiti sana kama za nikki..

nace nace maboiyz kulike zile fake, ati oriji hazishiki tena....


Unatambua chenye unafaa kuduu kama first responder?