Sheng word ya leo

 
Rive [ rii-veh  ]  ( Noun )

Meaning: A River

Use: Rive ime furika = The river is flooded

Synonyms:


Kukuru

05 Sep 2014

Napenda culture ya mathree kuruka, ata kama wasee hudharau hiyo janta lakini bila mat ingekuwa aje...........(click hasapa kucheki zaidi)
nacenace kupata hare ya sare ingekuwa ni fununu tu.....Kuna venye tunaweza kujisave tusiwahi kamanyuria?