Sheng word ya leo

 
Saka [ sah-kah  ]  ( Verb )

Meaning: To Search

Use: Naenda kusaka rodhi = I am going to search a pair of pants

Synonyms: Sakanya,  


Kukuru

05 Sep 2014

Napenda culture ya mathree kuruka, ata kama wasee hudharau hiyo janta lakini bila mat ingekuwa aje...........(click hasapa kucheki zaidi)
nacenace kupata hare ya sare ingekuwa ni fununu tu.....Kwani huyu msee hana bones kwa mwili?