Nganya mwenda ...

November 26 2013 10:52am     1 4216

Photo Credit:Wordpress   Tingua risto

Recently kumekuwa na Nganya Awards nazilikuwa zina hostiwa hasapo KICC. Tunajua matatu industry imekuwa na issues mob sana,wasee wengi sana huitanga mathree death traps venye madere hu compete kwa ubaro, alafu unapata ni za route jamo.<br> But hata ivyo, hii industry ina create job kibao kwa ma yout'man wengi sana. Mwanzo tuanze na creativity inakuwaga kwa hizo nganya, Graffiti zinakuaga noma sana na utapata brain ya yout flani hasapo mtaani. Alafu pia utapata ndani kwa hiyo ndae, hewa iko ndani mwenda alafu swagger yenye madonda na dere wakonayo.<br> Alafu kitu ingine na ngaya hiyo ndae always huanga teketeke, ingawaje uta adisia kitu kidogo kwa ile ferare wesewe hukanaja labda ashara ama mbaula. Kawaida eastlando ndio inakuanga imetambulika sana kwa manyanga, sasa kwa hizi awards tunacheki kwa ndae za Umoinner, mathree inajiita Heartless ilipenya na 14 seater alafu Buru 58 mathree inajiita Brainchild ikapenya na best 29 seater.<br> Lakini hata hivyo kuna mtaa inajiita Banana route 106 tunacheki pia hasao hawaja baki manyu tuna cheki wakona wanisa zingine mwenda mwenda. Big up matatu industry. Hasapa kuna mabisha kadhaa za mathree tushow ni mtaa gani ikona nganya noma sana

Related Stories