Kuhusu keroma expe kuruka…

August 27 2015 6:22pm     0 1376

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kama binadamu hatuwezi kuishi bila keroma. Infact sisi hukuwa tunahustle vimajor juu ya tumbo. Lakini kuna venye wadhii wameanza kuwekelea price tags kwa keroma kufanya ikae ni kama auction ya bidhaa. Njaro unaweza kukuwa na cladi ama ndae designer, keroma imefika hiyo ligi soo, ya kudaisha recognition.

This round, aina ya keroma yenye iko expe duniani, ni burgers. Nikaulizwa, hisihi ni nyagu imewekwa katikati ya mkanyo alafu ukiongezea majani na nyanya alafu inapewa hiyo jina fancy. Lakini kwa wasee wengine, ni zaidi ya boflo tu. Tofauti zenye ziko ni pienga lakini zinafanya msee kuchomoa mkwanja mwenda kuruka.

Examples ni kama; The Steak Burger, kutoka McGuire Irish Pub Florida, ikiwa served na caviar na boti ya Moet Im[errial. Royale Double Truffle Burger, kutoka DB Bistro Moderne New York, imemekiwa na ground sirloin, foie gras,braised short ribs na truffle. The Bling Burger, kutoka Serendipity 3 New York, ikiwa na white & black truffles, cave-aged cheddar cheese, caviar na kushikiliwa na diamond-encrusted gold toothpick.

The Surf & Turf Burger, kutoka Paris husuko Las Vegas, inakuja na boti ya Dom Perignon, ikiwa na lobster, brie, prosciutto, 100yrs balsamic vinegar na kobe beef. Alafu kuna Glam Burger ya Honky Tonk London, ikiwa na Kobe na Wagyu Beef, lobster, caviar, venision, duck egg, black truffle na kuwekelewa gold leaf.

The Wine-Paired Burger, kutoka Fleur Restaurant Las Vegas, inamuja na boti ya wine, ikiwa na Wagyu, foie gras na truffle. Alafu kuna ile burger bwaku dunia nzima ikiwa na uzito ya 354kgs. But yenye imekwachu mbana moja ni hisihi yenye nyagu humekishwa kwa lab za Maastrict University husuko Netherlands.

Inadaishwa scientists huko wanatumia stem cell kureplicate muscle tissues kama za ng’ombe. Inakindwa zaidi ya mita salasa ukidaisha kudema jamo.

Related Stories