Nduthe za Olympics

August 9 2012 12:00pm     0 3266

Photo Credit:Google   Tingua risto

Hii ndirao kamenunga kwa Olympics. "Wakimbizi" wetu wamejipata kwa mavumbi. Lakini pia wametry..wengine wetu hata tukianzia nduki karibu na finish bado tutalia vako. Tuwape pongezi ama nijea?

Related Stories