Wadhii kenya mko level ingine..

July 23 2012 12:41pm     2 7263

Photo Credit:Google   Tingua risto

Lakini swali ni, Ni ma pasi wangapi wako na hii ungamwe?? Hapa ni mjamo tu amemulikwa, tunashuku wengine wako hii biz pia ama??

Husuyu ni majamo tu, riba yake ni eti alinyongoa mshiriki wake mjamo hadi lojo. Auskii na husuyu pasi ni msee ame marika na akona waniaju wabwaku tusana, sasa unashindwa nini inamwangaisha.

Alafu mbuus mwenyewe pia yeseye kunavenye ame marika. Hii day walikuwa wamejiandaa ile deadly hadi keroma, kanywaji alafu bediko imemekisha ile poa sana. But kismat haikuwa pande yao, ambapo mjama wa mdem alikuwa tu ana watrace hadi kwa hisiyo lojo.

Mjama alizua noma, ali vaa husuyo pasi, lakini ali manage ku hepa, alafu baada ya masiku kadhaa pasi akajitokeza na famo yake na ku apologise in public...mambo gani yenye mapasi wakona njaa hadi kwa ma wife za wenyewe??

Related Stories