Obama

April 4 2012 4:08pm     0 2952

Photo Credit:Google   Tingua risto

Inasemekana leaders wa kesho washafika....ndio sasa hio time tulikua tunaskia kutoka kitambo. Example poa ni kucheki msee ka Obama mwenye amepenya into politics akiwa bado kijana, famo yake pia bado iko na waniaju wapienga, ndio bado wako mtaani kwa mapero.

Hii ndio trend tunadaisha hasapa mtaani pia. Tuget leaders wapienga ki miaka as long as wako na vision poa ya kupeleka Kenya mbele na watakua accountable to promises wamesema watatimiza, sio tu kupenya kwa hio offe alafu waanza aibu ndogo ndogo, kusanya mkwanja na kutulenga mpaka election za next.

Unakenga aje hii riba, tunaweza get leaders wako performance oriented & accountable?

Related Stories