Za ovyo, za tene

May 14 2012 4:32pm     0 3133

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kumbuka siku za kuchukuliwa ka mbicha ka umekwachu roof ya KICC, ama ka umeikalia ka hao wasupa...Siku zenye hatukuwa na ujanja mob na starehe ilikua kuingia jiji mambo ya Window Shopping na pero!

Sunday ilikua Family day out after church kwa famo most. Tao lazima njiva zingepanda, then ndirao iingie pale Uhuru Park, kupanda boat hivi na kumalizia na kambisha. Hii ilikua before enzi ya technology, insecurity na pollution. Machokosh pia hawakua wengi, na ungetembea jiji bula kugwaya kupigwa tisa ama harassment kutoka kwa mabang'a.
Hizi ndio mbisha zilikua zinapenya kwa success cards, pamoja na zile za couples zimekwachu maua.
Unakumbuka nini from hizi days?

Related Stories