Kutoka dayz za tene

July 18 2012 12:33pm     1 6383

Photo Credit:Google   Tingua risto

Yenyewe tenje zimekua zikitumika kutoka back then kupass risto za vile kunahappen mamtaa zingine, gava kushow wadhii ka kuna noma na eventually ikabaki ni njia poa ya kuget ngoma na entertainment.

Size ya tenje pia imekua ikibadilika over time, kuanzi ma boom box bigi, mpaka sasa tenje ziko kwa nangos...lakini kuna tenje design jamo imekua mwenda especially after introduction ya FM hapa 254... Ulikua na Palito?

Ka hujui hii ni nini, we ni wa juzi tu sana!! Memories gani unakumbuka from hisihi era...?

Related Stories