10 Jun 2014

Ufala ya utoi...


Kuna venye nilikua napata beating kila siku juu ya ufala....
nace
nace nakumbuka nikipatikana redd kama nimeenda kugosa malugu kwa mti ya neighbor....
Wawesh
Wawesh tulikuwa tumetime madha aiishie job kwanza ndio tuka penya kabla mboch atucheki
monde
monde Tulikuwa tusha vuka fence, ndani kwa shake tukiwa ready kupanda mti ya malugu

  Adisia Line