Mashida za kujiletea!

September 4 2013 11:57am     0 659

Photo Credit:By Fox News   Tingua risto

Mjamaa nifla wa New York alipatikana ka amekamanyuria kwa shake yake ya ndom. Hii ni risto ya mzae nifla, Daniel R. Rickets mwenye alikua na miaka chwani (50) na alikua anapoa mtaa jamo huko Albany, New York, Oteto

Daniel alikua ameweka security ama ukipenda 'booby trap' kiasi ya kuzuia madingo kufikia product zake hapo kwa shake, na hio trap karibu imkate shingo ichuje mongo. Hio ni according to ripoti ya makarao wenye walimget ka ashadedi hapo kwa shake, Inasemekana alikua ametumia wire ingine pienga, design zile hutumika kwa piano hivi. 

Inakaa alinywaku keroro zikamshow aishie akacheki burungo za kwake vile zinaendelea. Lakini blanda ni ka alisahau alikua ameweka hio trap, juu kwanza inasemekana ilikua mafichoni aje....ilibaki amejinasa na ikamdedisha pap.

Enyewe si poa kuchanganya tap tap kiufala hata ka uko mtaani, kwanza ka ni za kukushow. Unakenga kijea aje hii risto?

Related Stories