Huyu msupa Proscovia Oromait

September 21 2012 10:52am     0 659

Photo Credit:   Tingua risto

Msupa wa miaka 19 ni MP huko UG...hanaku MP ashawahi ingia offe hio akiwa mpienga hivyo. Ni risto poa aje, ni mresh, ni mpienga...step poa sana. Big up kwa wathii wa hio area kumpea hio chance kuwakilisha ma-yout...