Hasira za mthama!

December 10 2013 10:42am     0 652

Photo Credit:Daily Mail   Tingua risto

Na husuko NYC, yaani Nyeri County, kange nifla amekamatwa war na mthama juu ya kukatia mniaju wake bila aibu. Kadem ndio kalitangulia kuingia kwa mathree juu masake alikua anapitia oduko ya M-pesa.<br> Sa konkodi alikuwa ameshajichocha vile ataingiza manzi box kabla afike kule anaenda. Si akang'ang'ana kutupa lugha na kutumia njaro zote za kuget attention ya msupa! Kumbe masa ya dem aliget kiti ya manyu lakini alikuwa rada na kile kange anadu. Alijaribu kumkatizia lakini konda, akiwa juu ya ma-anjaam, akamzima akimshow ajipe shuguli. Kalinunga hasapo venye mthama alirwada konda na handbag huku akiambia dere awadondoe ndio akung'ute huyo mudhii vipoa.<br> Sidhani huyo boiyz atawai katia tena hadharani after kichapo ka hio. Ka ni wewe huyo mdhama ungedo nisini?

Related Stories