Merry Christmas!

December 25 2013 9:36am     0 408

Photo Credit:Go Sheng   Tingua risto

Leo ni orismo na kama kawa kama dawa, wadhi wame jipanga ku manga kuruka. Sisi hapa Go Sheng tuna washow muwe na orismo mwenda lakini pia msi sahau kesho pia ni siku na Jan ndio hiyo iko kwa corner... fees za waniaju na rent ndio hizo zina wayebi. Mkimela pia msi sahau kudandia mat ama cab ... usi ng'aishe ndai kama ume tapa juu hiyo una panga tu mangata yako live live. Ya lanyo, mki serereka pia mkumbuke kuna watu hawana ene, watoi ma orphans, watu wagonjwa kwa ma hosi na wale wako ma mastreet bila choice.

Related Stories