Msuus kanjotika!

January 6 2014 5:21pm     0 380

Photo Credit:Hit Fix   Tingua risto

Kuna manzi nifla wa Oteto mwenye alibaki ame njotika for a full three hours after kubinjana na boy wake. Anadai alishangaa sana kile inafanyika. Sa alijaribu kuruka ruka ndio hiyo feeling idedi lakini wapi! Akarudi akajaribu kunywaku wine na bado netin. Hasapo ikabidi hubby amemhepesha hosi juu situaion ilikua gwan sana. Manurse nao walidhani anaget mniaju. Sema kustaajabu ya Musa?

Related Stories