Rodman na lesson muhimu ya Photoshop!

January 6 2014 5:35pm     0 635

Photo Credit:Metro   Tingua risto

Dennis Rodman mwenye alikuwa star wa bake akiplay kwa NBA miaka kadhaa hapo manyu, aliinvitiwa North Korea na orezo wa huko. <BR><BR> Watu wengi hawaja jazika na hiyo risto juu North Korea ina record du sana ya human rights na last year, huyo orezo myanki (ako miaka 30) aliumisha anke wake pamba ati juu alikuwa anasuspect anke wake anawant kumoverthrow. <BR><BR> Sasa juu huyo orezo juu ma kukreki zake, inakaa nikama aliorder mbicha flani yake na Rodman iphotoshopiwe ndio ishow ako mashetebe tu sana na Rodman.

Related Stories