Mambo swafe na mwaka nira!

January 8 2014 11:43am     0 360

Photo Credit:bspcn.com   Tingua risto

Kila new year, lazima wasee kuuliza risto za resolutions yaani zile vitu utadu upya. Lakini inafaa ucheki ni nini unafaa kutia zii kabisa. Ni muhimu kujipenda fao kabla upendwe na wasee wengine. Sa acha kubangaiza na wadhii hawakusaidii kimaisha. Usiwai kujibeba ufala ama kujifanya kuwa msee tofauti. Pia temana na mambo za zamo, zile blanda uliwai fanya zinafaa kuwa teachings ndio usijipate kwa hiyo noma tena. Sana sana usiwai gwaya kufanya kitu hujawai jaribu bafo. Ukikazana kujijua utacheki we ni wa maana zaidi kuliko wadhii wengine.

Related Stories