Kunywaku maziwa ni poa!

June 6 2014 1:22pm     0 712

Photo Credit:Go Sheng   Tingua risto

Wadhii wengi hukata risto kunywaku maziwa wakishagrow. Kumbe hawajui chenye wanahata kwa maisha.

Sa kuna risto nifla ilinyemelea kwa net kuhusu athletes machali, ikidaishwa wako na siri jamo kubwa ya kufanya waweze kuwin wakitoka mbio.

Athlete mjamo, Jason Nash, anadai amekuwa akinywaku maziwa. Na si ile ya kawa lakini Breast Milk, tangu wifey ajifungue na mniaju wao wa fao. Anazidi kuitetea kuwa poa for both watoi na wasee wabwaku.

Hiyo ni juu Breast Milk inaweza kuboost energy na imekuwa a sustainable alternative for steroids na supplements zinengi. Alafu pia inasaidia kuboost immune system na haina noma yoyote juu ni natural.

Sa unaweza kubali kujitibu na hisihi maziwa ama utawachia ma athletes na wasee wa gym?

 

Related Stories