Siku ya fao ndani ya Brazil

June 13 2014 11:03am     0 540

Photo Credit:Google   Tingua risto

12th June 2014 ni siku jamo ilikua imengojewa sana na mafans wa foota, dunia nzima. Kila country ikona team mwenda kwa hii game, iliweza kupatana husuko kuparticipate kwa compe ya kuwai World Cup.

Na sa ni lazima host country kukaribisha wageni mashuhuri na bash ikaangushwa hasapo kwa Arena Amazonia. Stadi yenyewe, inaweza kaliwa na wasee 42,000. Alafu imecost gava ya Brazil $300million, risto ilifanya raiya kuzusha kupitia protests. Walikua wanadai hiyo ni mkwanja kibao sana kuweka kwa stadi pekee, na huku wadhii wanadedi juu ya njaa.

Hasapa tuko na mbisha zinamulika vitu unaweza kuwa ulihata kuyebi wakati ukiwatch Opening Ceremony.

Related Stories