Ngotha za ajaab!

June 18 2014 12:16pm     0 800

Photo Credit:Buzzfeed   Tingua risto

Ukapatana na chali ameng’ara thong, utafikiria nini juu yake?  Sa kunayo ngotha nira imemekiwa eti ya kuclad ukienda swimo ama beach, nan i muhadhara ata kuliko hiyo thong.

Zimepewa jina ‘C Shape’ G string, na zinafaa kung’arwa na maboiyz pekee. Njaro imemekiwa ni kushikilia nalinga tu alafu area zingine zinawachwa wazi ndio zipate sun burn poa.

Inasemekana siza haijalishi, coz  inaweza stretch kutosha size yoyote ile. Shida tu bwaku itakuwa kama mjamaa hana mwili kama ya super model ama mwenye hapigangi tizi pia ataumia. Juu atakaa mbaya kuruka.

Sa juu zinamuja kwenye color tofauti, itakuaje ukijishikia kajamo kaholiday hivi ama kujinice tu nayo!

Related Stories