Wagondi kusetiwa na mniaju wa miaka 4

June 25 2014 3:42pm     0 608

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kumbe utiaji huanza mapema.  Akiwa na miaka 4, Abby Ferndale, aliseti babysitter wa kwake juu ya kugosa stuff kutoka kwa jakes yao. Mboch wa Abby ako miaka kinde na seven na alikuwa amepanga na chali wa kwake ako 16 years na beshte yao, 18year old, Ruben Benjamin kugondi .

Walikuwa wameweza kubeba video game, laptop, iPod ya Abby na piggy bank. Alafu husuyo mboch akaita mavedi kureport hiyo wizi, akidai ati ni wamero walimbi walikam kugondi. Risto ilifanya neighbor wa akina Abby kukuwa questioned juu yeseye ni Black.

Lakini Abby alidinda kuwachia mboch wake kuendelea tu hivyo nah ii crime. Alichapia makarao venye kulienda na akaseti wale wasee walikam kwa jakes yao hadi ikabidi wametii. Ilibaki wamebambwa na sahii wanaface charges za theft and burglary.

I wonder kama waniaju wetu wamechanuka njaro wanaweza roroa na kudescribe situation kama hisihi hadi ilazimishe wasee wabigi kuwaskiza na kutake action…

Related Stories