Mechi kati ya Iran na Bosnia

June 26 2014 11:46am     0 308

Photo Credit:ndtv sports   Tingua risto

Bosnia walitangulia na ku lead kwa dude mbee, Edin Dzeko akitangulia kutinga dude kwa dakika ya mbao na tatu. Miralem Pjanic aka adisia dude nyingine kwa dakika ya 53rd, alafu Reza Ghoochannejhad akapea Iran hopes baada ya kutinga kwa dakika ya 81st. Avdija Vrsaljevic aka reply immediately na kukazia Iran kabisa dalili za kupenya.

Iran kama wange manage kushinda, matumaini zao kupenya raundi next zilikuwa high sana, juu Bosnia already walikuwa washa mochoka, baada ya kushindwa na Argentina na Nigeria kwa game za fao. Koches wa Iran Carlos Queiroz  ali make changes na kuingiza ma striker kadhaa; Khosro Heydari na Karim AnsariFard, ikiwa half ya seko but walimanage kutinga dude jamo pekee.

Hii ni raundi ya fotho Iran kutokelezea kwa World Cup, but wana face criticism kutokana na hao wasee wao wa nne wenye wako defence. Wakigusa na Nigeria wali manage kutoka draw alafu wakigusa na Argentina, walikuwa wana play defense tu sana ata kama walicreate chances kiasi lakini hawaku faidika juu Messi alitinga dude jamo game ikiwa karibu ku katika.

Bosnia walikuwa na most chances kwa hii mechi, but Dzeko alikuwa criticized juu ya kuhata chances most kwa mechi mbili za fao. But kwa hii game yeseye ndiye alitangulia kutinga 23rd minute, alafu Pjanic aka adisia hizo zingine mbili. Sasa team hizi zote mbili zimejichuja kwa hii tona.

Related Stories