Argentina kuface Belgium

July 2 2014 1:04pm     0 234

Photo Credit: Jonathan Jurejko   Tingua risto

On 1st  June palikuwa na mechi kati ya Argetina na Switzerland, na tunacheki Argentina  waliponea sana kuingia mapena baada ya Di Maria kuwa pea dude dakika zikiwa karibu kukatika.

Dude ya Di Maria ilikamu game ikiwa extra time the 118th minute. Dude yenyewe ilitokea pahali Messi alimpatia Di Maria crosi tamu sana, na aka manage kuiskuma ndani kwa net. Ata hivyo tukicheki game vipoa, Di Maria alikuwa karibu kutoka kulingana na Allan Hansen, analyst wa MOTD, anadai Di Maria alicheza game ya udu tu sana. But kismat ilikuwa pande yake ndio aka manage kupata dude.

Tuna cheki game ya Switzerland ilikuwa tamu sana, waliweza kukalia Argentina na kuwakazia kupata dude. Msee kama Messi alikuwa ame opressiwa ile deadly, na bado tulikuwa tuna cheki pia wasee wa Switzerland waliweza kushambulia defence ya Argentina but dude tu ilikata.

Alafu hasapa kunazo facts kadhaa na hizi team bweks, tunaona Argentina always wamekuwa on the winning side. Wameenda extra time mara saba kwa World Cup na wakaweza shinda sita. Alafu hii dude ya Di Maria ndio the latest goal washawai funga .

Swiz nao tunacheki dabo ya last waliwai chapa ilikamu at the 50th munite, and then game zao tatu World Cup hawajai tinga mara ya mwisho kutinga ilikuwa 1954.

Sasa Argentina wata patina na Belgium on Sato baada ya kuchapa USA kwa dude mbili kwa jamo.  Swiz wamejichuja hii tona. Kati ya hizi team mbili zinaenda kupatana unacheki ni gani inaweza ingia hiyo raundi inengi?

Related Stories