Wilshere aka onekana akichoma ngem

July 15 2014 12:33pm     0 485

Photo Credit: James Dickenson   Tingua risto

Jack Wilshere ni player wa Arsenal na juzi akaonekana husuko Las Vegas kwa bash nifla akiwa anachoma fwaka. Wilshere akiwa na beshte zake pamoja na  keeper wa Manchester City Joe Hart walikuwa wanajibamba huku wakichoma na kuwasha.

Juu ya hii risto Arsene Wenger amekula nare tu sana, na sasa kuna venye anaweza msuspend mamechi kadhaa. Na bado anarisk kukosa kuchezea Arsenal, juu club inadai husuyu player kutoka Germany, Khedira na anagusa the position same kama Wilshere.

Arsene Wenger akiulizwa alidai amekatsika sana na risto ya Wilshere na aka mshow kama wesewe ni footballer lazima ujuwe wewe ni role model.  Kama unataka kuwasha tei ama kuchoma ngem, chomea kwa keja yako pahali hanaku mudhii atakucheki, sio public place pahali kila msee anakucheki na unafaa kushow a good example.

But inasemekana Wilshere ali apologise na akadaisha hiyo ndio fwaka yake ya last kuchoma, hatawai choma tena.

Related Stories